Psalms 7:14-16


14 aYeye aliye na mimba ya uovu
na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo.
15 bYeye achimbaye shimo na kulifukua
hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.
16 cGhasia azianzishazo humrudia mwenyewe,
ukatili wake humrudia kichwani.
Copyright information for SwhNEN